.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatatu, 23 Novemba 2015

Tagged Under:

FULL TIME: MANCHESTER CITY 1 v 4 LIVERPOOL, COUTINHO, SKRTEL NA FIRMINO WAFANYA KWELI LEO MBELE YA KLOPP... WAMPIGA CITY KWAO ETIHAD

By: Unknown On: Jumatatu, Novemba 23, 2015
  • Share The Gag

  • Adam Lallana akifurahia Ushindi kwenye Uwanja wa Etihad baada ya Eliaquim Mangala (katikati) kujifunga.
    Philippe Coutinho akishangilia bao lake

    Firmino alifanya 3-0

    Straika wa Man City  Sergio Aguero ndie aliyewapa bao la kufutia machozi Etihad

    Manchester City walipata bao lao kupitia kwa Sergio Agüero dakika ya 44 na bao kuwa 3-1.
    Liverpool walipata bao kupitia kwa Eliaquim Mangala aliyejifunga bao mapema dakika ya 7 na bao la pili lilifungwa na Philippe Coutinho dakika ya 23 na lile la Roberto Firmino dakika ya 32. 


    Dakika ya 81 Martin Skrtel alipiga bao la 4 na kufanya matokeo kuwa 4-1 dhidi ya Timu ya Manchester City.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni