Mpaka dakika 90 zinakatika hakuna bao!
Meneja mpya Remi Garde
Chini ya Meneja mpya Remi Garde kwenye Mechi yake ya kwanza tu, Aston Villa Leo wamegangamala na kutoka Sare ya 0-0 na Vinara wa Ligi Kuu England Manchester City.
Mechi hii iliyochezwa Villa Park, Nyumbani kwa Ason Villa, Timu hiyo ambayo iko mkiani mwa Ligi ilijipanga vizuri kwenye Difensi na mara kadhaa kuitishia City wakati wakifanya kaunta ataki.
Meneja mpya Remi Garde wa Aston Villa nae kashuhudia sare hiyo iliyokuwa ya aina yake Villa Park!
Mashabiki
wakionesha mfano wa nyoka juu wakimaanisha juu ya mchezaji Fabian
aliyehamia City na leo kuonekana Uwanjani dhidi ya Timu yake ya zamani
Villa.
Kipa wa City Joe akipangua mpira kwenye eneo la hatari
Navas akipagawa baada ya kukosa nafasi ya wazi kufunga bao
Kompany akimiliki mpira
Meneja wa City akitoa maelekezo kwa wachezaji wake Uwanjani
Scott akimtoka Kevin
Ayew na Kompany wakichuana vikali
Kevin de B. 
0 maoni:
Chapisha Maoni