.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatano, 4 Novemba 2015

Tagged Under:

=Siku moja baada ya Gerrard kuthibitisha siku atakayostaafu soka, Jurgen Klopp kathibitisha kuongea haya na Gerrard

By: Unknown On: Jumatano, Novemba 04, 2015
  • Share The Gag


  • Kocha wa kijerumani ambaye ana muda wa wiki kadhaa toka ajiunge na Liverpool kama kocha mkuu wa klabu hiyo, baada ya uongozi wa Liverpool kumfuta kazi Brendan Rodgers. Ikiwa ni siku moja imepita toka kiungo mwenye heshima kubwa katika klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya Uingereza Steven Gerrard athibitishe kuwa anafikiria kustaafu soka.
    Baada ya siku ya November 3 Gerrard kuthibitisha kuwa huenda akastaafu soka mwishoni mwa mwaka 2016 kocha wa Liverpool Jurgen Klopp leo November 4 amethibitisha kuzungumza na Steven Gerrard na kuwa ana mpango wa kutaka kumrudisha kiungo huyo Anfield.
    2AA4506100000578-3303156-image-a-2_1446628682150
    Awali kabla ya Brendan Rodgers hajafukuzwa aliwahi kumwambia Gerrard kuwa wakati atakapokuwa Uingereza kwa mapumziko aende kufanya mazoezi pamoja na Liverpool katika uwanja wao wa mazoezi wa timu hiyo Melwood ila stori za zilizotoka November 4 Jurgen Klopp kathibitisha kuongea na kiungo huyo kuhusu kurejea Liverpool klabu ambayo ndio alianza kucheza soka la ushindani.
    2E15032F00000578-3303156-image-m-30_1446629718334

    0 maoni:

    Chapisha Maoni