
Alhamisi, 17 Septemba 2015
Tagged Under:
Ni
mara nyingine tena kwa Timu ya Tanzania Prisons kupoteza dhidi ya Yanga
Sc na kwa mabao yale yale ya 3-0. Leo hii ilikuwa Katika Uwanja wake wa
Nyumbani Yanga na kuifunga Prisons bao 3-0 ambapo mpaka mtanange
unamalizika Prisons walibaki wachezaji 10 baada ya Mwenzao kuoneshwa
kadi nyekundu
YANGA SC 3 vs 0 TANZANIA PRISONS, YANGA YAENDELEA VYEMA TENA LEO! IPO KILELENI!
By:
Unknown
On: Alhamisi, Septemba 17, 2015

Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 maoni:
Chapisha Maoni