.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumanne, 15 Septemba 2015

Tagged Under:

LIST YA MARAIS WA AFRIKA AMBAO WAKO NA UMRI MKUMBWA

By: Unknown On: Jumanne, Septemba 15, 2015
  • Share The Gag


  • Marais wengi wa Afrika wamekuwa wakikaa kwa muda mrefu madarakani hali inayochangia baadhi ya nchi kuingia katika machafuko wa kisiasa.
    Ukongwe wao kwenye siasa umewafanya wengi wao kujikuta wakikaa miaka mingi zaidi na kuvunja rekodi ya kukaa madarakani kwa muda mrefu.
    Hapa nimekuwekea list ya Marais wa Afrika wenye umri mkubwa zaidi ya wengine…
    rais
    1. Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ana miaka 91, ndiye Rais mzee kuliko wote, ameshinda urais kwa muhula wa saba

    tuni
    2. Beji Caid Essebsi-Ana miaka 88, amekua Rais wa Tunisia tangu Desemba 31 2014

    biya
    3. Rais Paul Biya wa Cameroon ana miaka 82,ameingia madarakani tangu mwaka 1982

    alge
    4. AbdelAziz Boeteflika ni Rais wa Algeria toka April 1999, ana miaka 78

    gine
    5. Rais wa Guinea Alpha Conde ana miaka 77, amekua madarakani tangu Desemba 2010

    da
    6. Rais wa visiwa vya Sao Tome Manuel Pinto da Costa ana miaka 77, aliingia madarakani tangu mwaka 2011

    lib
    7. Rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf ana miaka 76, aliingia madarakani tangu Januari 2006

    muth
    8. Rais wa Malawi Peter Mutharika ana miaka 74, aliingia madarakani May 2014

    ivoo
    9. Rais wa Ivory Coast Alassane Quattara  ana miaka 73, aliingia madarakani tangu mwaka 2011

    zzzzz
    10. Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma ana miaka 73, aliingia madarakani tangu May 9, 2009

    0 maoni:

    Chapisha Maoni