.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Alhamisi, 10 Septemba 2015

Tagged Under:

Cristiano Ronaldo kaja na biashara ya perfume time hii… Pichaz na Video za uzinduzi hizi hapa..

By: Unknown On: Alhamisi, Septemba 10, 2015
  • Share The Gag


  • Cristiano Ronaldo ni staa mkubwa kwenye soka, YES… Dunia inamjua, hii ni kumaanisha kwamba hata wasio na ushabiki kwenye soka jina lake wanalijua !!
    1900832
    Mastaa kama Michael Jordan wamestaafu kwenye Michezo lakini majina yao yako juu bado kutokana na kujiingiza pia kwenye biashara kubwakubwa Duniani… Ronaldo anahitaji hata ikitokea leo anaachana na soka, jina lake likumbukwe pia tena kwenye uzito wake !!
    Ni dili juu ya dili kwa Cristiano Ronaldo… baada ya kuingia Mikataba mingi ikiwemo ya kutengeneza nguo na viatu vyenye jina lake, safari hii amezindua perfume zenye jina la ‘Legacy‘ na tayari zimesogezwa sokoni kuuzwa.
    Hapa nimekuwekea Pichaz na Video, Ronaldo na watu wake wa karibu wakati wa uzinduzi huo…
    ron
    ron2
    ron3
    ron4
    ron6
    Hiki ni kipande cha Video ambacho ni tangazo la perfume yenyewe, sekunde 31 tu mtu wangu hiki hapa..

    0 maoni:

    Chapisha Maoni