Tagged Under:
ARSENAL 2 vS 0 STOKE CITY
By:
Unknown
On: Jumatatu, Septemba 14, 2015
Theo
Walcott akishangilia bao lake la dakika ya 31 kipindi cha kwanza.
Giroud dakika ya 85 aliwapachikia bao la pili kwa kichwa baada ya
kupigwa kona na kufanya matokeo kuwa 2-0 dhidi ya Stoke City.
0 maoni:
Chapisha Maoni