
Christian Benteke akishangilia bao lake.
Bao za Liverpool zilifungwa na Benteke dakika ya 48 kipindi cha pili na lile la Ojo dakika za lala salama dakika ya 87. Bao la Swindon limefungwa na Obika dakika ya 63 kipindi cha pili mbele ya Mashabiki wapatao 14,591
Roberto Firmino akiendesha
Benteke kwenye patashika leo
Benteke tena...
Emre Can akisimamishwa!
Lazar Markovic akimiliki mpira
Roberto Firmino akiwa na kipa Lawrence
Christian Benteke akitupia...
Christian akipongezwa!
Benteke akiwa na kipa Lawrence
Benteke na mpira...
Benteke akiwapongeza Mashabiki
0 maoni:
Chapisha Maoni