.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatano, 19 Agosti 2015

Tagged Under:

Unaambiwa hivi ndio viwanja vya ndege vyenye mvuto zaidi mwaka huu, Africa upo mmoja!

By: Unknown On: Jumatano, Agosti 19, 2015
  • Share The Gag

  • air1
    Najua kuna watu wangu wanaopenda kufanya matembezi sehemu mbalimbali duniani iwe kwa issue zao binafsi au hata kwa issue za kibiashara. Lakini ulishawahi kujiuliza ni viwanja gani vya ndege vyenye mvuto zaidi duniani? na Africa viko vingapi?
    Nimekutana na stori kwenye mitandao ambao wenyewe wamefanya utafiti na kuja na orodha ya viwanja 10 vya ndege vyenye mvuto wa kipekee kwa mwaka huu wa 2015 haswa ukiwa bado uko angani unakaribia kutua.
    air2
    Kwenye list upo uwanja wa Queenstown Airport uliyopo New Zealand,  uwanja wa McCarran Airport uliopo Las Vegas na uwanja wa Nice Cote D’Azur Airport uliopo Ufaransa. Na kwa Africa upo uwanja wa…!?
    Hapa chini nimekusogezea picha 10 za viwanja vya ndege vyenye mvuto zaidi duniani, unaweza kuvitazama kujua uwanja gani wa ndege kutoka Africa umeingia.
    new zealand
    1. Queenstown Airport, New Zealand.
    las vegas
    2. Las Vegas McCarran Airport, United States.
    france
    3. Nice Cote D’Azur Airport, France.
    Barra Airport, Traigh Mhor Beach, Isle of Barra, Outer Hebrides. PIC: P.TOMKINS / VisitScotland /SCOTTISH VIEWPOINT Tel: +44 (0) 131 622 7174   Fax: +44 (0) 131 622 7175 E-Mail : info@scottishviewpoint.com This photograph can not be used without prior permission from Scottish Viewpoint.
    4. Barra Airport, Scotland, UK.
    maarten
    5. St. Maarten Airport (Princess Juliana International), Caribbean.
    carebean island
    6. Saba Airport (Juancho E Yrausquin), Caribbean Netherlands.
    toronto
    7. Billy Bishop Toronto City Airport, Canada.
    british island
    8. Gibraltar Airport, UK.
    london
    9. London City Airport, UK.
    SA
    10. Cape Town Airport, South Africa.
    Unaambiwa uwanja namba 3 uliingia kwenye hii orodha mwaka 2014, uwanja namba 4 ulikuepo pia kwenye hii orodha mwaka 2013 na uwanja namba 5 ulikuwepo pia kwenye orodha ya viwanja vizuri zaidi duniani mwaka 2012 na hii ni mara ya pili kwa wao kuingia kwenye orodha hii.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni