.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumapili, 16 Agosti 2015

Tagged Under:

HIVI NDIVYO WEKUNDU WA MSIMBAZI WALIVYOWASILI TAIFA

By: Unknown On: Jumapili, Agosti 16, 2015
  • Share The Gag

  • Basi la Simba likiwasili uwanja wa Taifa
    Basi la Simba likiwasili uwanja wa Taifa
    Kikosi cha Simba SC leo kinacheza mchezo wake wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya timu ya URA kutoka Uganda ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea msimu ujao wa ligi kuu Tanzania bara 2015-2016 mchezo utakaopigwa kwenywe uwanja wa Taifa. 
    Hizi ni baadhi ya picha za wachezaji wa kikosi cha Simba wakati wakiwasili uwanja wa Taifa kwa ajili ya mchezo huo.
    Wachezaji wa Simba kabla ya kushuka kwenye gari
    Wachezaji wa Simba kabla ya kushuka kwenye gari
    Ibrahim Ajibu
    Ibrahim Ajibu
    Mwinyi Kazimoto
    Mwinyi Kazimoto
    Justice Majabvi
    Justice Majabvi
    Awadh Juma
    Awadh Juma
    Simba

    0 maoni:

    Chapisha Maoni