.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatano, 19 Agosti 2015

Tagged Under:

SPANISH SUPER CUP: BARCELONA 1 vs 1 ATHLETICO BIL!

By: Unknown On: Jumatano, Agosti 19, 2015
  • Share The Gag

  • Mabingwa wa Super Cup 2015 Athletico Bilbao baada ya wakuchapa Mabingwa Barca bao 5-1 usiku huu.Pique hoi!! akijificha uso! Gerard Piqué laomeshwa kadi nyekundu kipindi cha pili dakika ya 56.Lionel Messi alifunga bao dakika ya 43 kipindi cha kwanza na kufanya 1-0(Agg 1-4) dhidi ya Athletico Bilbao.

    Aritz Aduriz dakika ya 74 aliwasawazishia bao Bilbao na kufanya 1-1 na kufanya (Agg. kuwa 1-5)

    0 maoni:

    Chapisha Maoni