.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumanne, 25 Agosti 2015

Tagged Under:

Pichaz za Balotelli akiwasili AC Milan kufanya vipimo vya afya

By: Unknown On: Jumanne, Agosti 25, 2015
  • Share The Gag

  • Mshambuliaji mtukutu ambaye amewahi kuvichezea vilabu kadhaa Mario Balotelli ameondoka Liverpool na kurejea katika klabu yake ya zamani ya AC Milan, Balotelli anarudi AC Milan ikiwa ni msimu mmoja umepita toka ajiunge na Liverpool akitokea AC Milan ya Italia kwa dau la pound milioni 16.
    2BA42FE500000578-3209049-image-a-14_1440489938281
    akiwasili kwa kufanya vipimo vya afya Milan
    Balotelli anarudi Italia katika klabu ya AC Milan kwa mkopo wa muda mrefu na tayari ameshafanyiwa vipimo vya afya na yupo tayari kukitumikia kikosi hicho.
    Mshambuliaji huyo wa kiitaliano mwenye asili ya Ghana amerejea AC Milan akiwa na rekodi ya kucheza mechi 16 akiwa na Liverpool na kuifungia goli moja pekee.
    2BA4315400000578-3209049-image-m-18_1440489981510
    ” Nipo fiti nasubiri kufanya mazoezi na timu nina hamasa kubwa ninachotaka ni kufanya kazi na sio kuongea, nilifikiri nitarudi Milan siku moja? ndio siku zote Milan ipo katika moyo wangu na nilikuwa na matumaini kuwa nitarudi siku moja”>>> Balotelli
    2BA4B25800000578-3209049-image-a-1_1440496287259
    Baada ya kumaliza kufanyiwa vipimo vya afya
    45
    Rekodi ya Balotelli katika vilabu alivyochezea

    0 maoni:

    Chapisha Maoni