Bao
la Arsenal la kwanza limefungwa na Olivier Giroud dakika ya 16 na
kipindi hicho hicho Crystal Palace walisawazisha kupitia kwa Joel Ward
dakika ya 28 na kufanya 1-1. Kipindi cha pili dakika ya 55 Damien
Delaney alijifunga dakika ya 55 na kuwapa bao la Ushindi Arsenal na
mtanange kumalizika kwa bao 2-1 Arsenal wakiibuka washindi. Mbele ya Mashabiki 24,732. Mbele ya Mashabiki 24,732. Fowadi wa Arsenal, Alexis Sanchez Difenda Damien Delaney akijifunga! 1-1 Olivier Giroud akituma salaam dakika ya 16 Mambo safi!! Arsene Wenger akipongeza pamoja na Viongozi wengine Kipa Petr Cech
0 maoni:
Chapisha Maoni