.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Alhamisi, 27 Agosti 2015

Tagged Under:

MAMA SAMIA ANG'ARA KILIMANJARO NA ARUSHA LEO, MIKUTANO YAKE YAFURIKA UMATI WA WANANCHI

By: Unknown On: Alhamisi, Agosti 27, 2015
  • Share The Gag

  •  Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu, akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM, uliofanyika leo katika stendi ya daladala maarufu kwa jina la Samunge, jijini Arusha leo
     Sehemu ya umati wa wananchi waliofurika kwenye mkutano huo jijini Arusha leo
     Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Ummy Mwalimu akimuombea kura mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo jijini Arusha
     Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Hawa Ghasia, akimuombea kura mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo jijini Arusha
     Mbunge wa Afrika Mashariki, Angela Kizigha, akimuombea kura mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo jijini Arusha

    0 maoni:

    Chapisha Maoni