Wayne Rooney akiondoka na mpira wake Uwanjani baada ya kupiga hat-trick
Ander
Herrera alifunga bao lake dakika ya 63 kipindi cha pili na kufanya 4-0
huku matokeo jumla yakiongezeka na kuwa (1-7). Dakika ya 81 Chicharito
aliteleza na kukosa mkwaju wa penati kwa kupiga mpira vibaya kwa nje. Rooney anaondoa ukame wa mabao katika Mtanange huu wa marudiano anatupia bao tatu kwa mpigo.. Hat-trick!
Chicharito alikosa nafasi ya wazi hapa
Na hapa akiwa chini baada ya kukosa penati
Hernandez akiwa chini akijiuliza baada ya kukosa penati
Chicharito aliteleza wakati wa upigaji penati kipindi cha pili mwishoni
Mweleka!
Balaa!
Ander akishangilia baoWayne Rooney alipiga hat-trick kwa kufunga bao la tatu dakika ya 57 kipindi cha pili na kufanya 3-0.
Dakika ya 49 kipindi cha pili Wayne Rooney aliipatia bao la pili Man United na kufanya 2-0 dhidi ya Club Brugge.
Rooney akishangilia moja ya bao lake usiku huu.
Rooney na Depay wakipongezana
Kikosi cha Man United
Sehemu ya Mashabiki wa Man United
Sir Bobby na Mwenyekiti Ed W. ndani huko Belgium.VIKOSI:
Club Bruges: Bolat, De Fauw, Castelletto, Duarte, De Bock, Claudemir, Vormer, Vazquez, Bolingoli Mbombo, De Sutter, Diaby.
Akiba: Bruzzese, Meunier, Vanaken, Cools, De Smul, Dierckx, Oulare.
Man Utd: Romero, Darmian, Smalling, Blind, Shaw, Ander Herrera, Carrick, Mata, Januzaj, Depay, Rooney.
Akiba: Johnstone, Hernandez, Young, Fellaini, Schneiderlin, Schweinsteiger, McNair.
Refa: Antonio Miguel Mateu Lahoz (Spain)
0 maoni:
Chapisha Maoni