.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Ijumaa, 21 Agosti 2015

Tagged Under:

JOSE MOURINHO APINGA KUWAPIKU MAN UNITED, ‘LAANA’ YA KUFUNGWA NA MAMENEJA WENYE JINA LIANZALO NA ‘P’ AIKATAA!

By: Unknown On: Ijumaa, Agosti 21, 2015
  • Share The Gag

  • Meneja wa Chelsea Jose Mourinho amesema haikuwa nia ya Chelsea kuipiku Manchester United ili kumsaini Pedro kutoka Barcelona.
    Man United walikuwa tayari wameshakubaliana na Barcelona kuhusu Uhamisho wa Pedro ambae nae alishaafika maslahi binafsi na Man United lakini Dakika za mwisho Chelsea ikaingia na kumsaini.
    Habari toka Old Trafford zilitoboa kuwa Meneja Louis van Gaal ndie alieamua kutomsaini Pedro baada kubainika uhusiano wake wa karibu na Mchezaji mwingine wa zamani wa Barcelona, Kipa Victor Valdes, ambae yuko Man United lakini sasa ana bifu kubwa na Van Gaal kiasi cha kutimuliwa toka Timu ya Kwanza na sasa kuwekwa kwenye Listi ya Wachezaji wanaouzwa.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni