.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Alhamisi, 27 Agosti 2015

Tagged Under:

MSHINDI WA TMT 2015 MPAKA KIELEWEKE APOKELEWA KWA NDEREMO MJINI MOSHI

By: Unknown On: Alhamisi, Agosti 27, 2015
  • Share The Gag
  • Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa Mshindi wa Shindano la TMT 2015 #mpakakieleweke Dennis Lwasai wakiwa na bango linalomwelezea mahindi huyo wakati walipojitokeza kumpokea wakati akirejea nyumbani kwao Mambogini Moshi.
     Mshindi wa TMT 2015 #mpakakieleweke Dennis Lwasai akiwasalimia wakazi wa mji wa Moshi waliokuwa wakimpongeza wakati akirejea kwao Mambo
     Wakiendelea kumpongeza
     Wakitoa Mkono wa pongezi kwa mshindi wakati akipita kuelekea nyumbani kwao
     Akipongezwa na wadau wake
     Kwa hisia huku akifurahi
     Alipokelewa hivi na vijana wenzie
     Kila Kona walijitokeza wadau kumpongeza
     Ndugu, Jamaa na marafiki wakimpokea mshindi wao na kumpongeza kwa kuibuka mshindi na kuiwakilisha kanda ya kaskazini vyema.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni