.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumapili, 16 Agosti 2015

Tagged Under:

UHAMISHO: MANCHESTER UNITED WAMSAJILI KIJANA MDOGO WA HOLLAND U-17

By: Unknown On: Jumapili, Agosti 16, 2015
  • Share The Gag
  • Manchester United wamemsaini Kinda wa Holland Timothy Fosu-Mensah na kumpa Mkataba wake wa kwanza kama Mchezaji wa Kulipwa, yaani Profeshenali.
    Man United imetangaza habari hii kwenye Mtandao wao wa Twitter walipoposti Picha ya Fosu-Mensah akiwa na Meneja Msaidizi Ryan Giggs.
    Fosu-Mensah huweza kucheza Kiungo na alitua Man United Mwaka Jana kutoka Ajax.
    Inasemekana Meneja Louis van Gaal anamhusudu sana Kijana huyo ambae ndie Kepteni wa Timu ya Taifa ya Holland ya Vijana wa chini ya Miaka 17, U-17.
    Kijana huyo sasa ataichezea Timu ya Vijana ya Man United ya U-21 chini ya Kocha Paul McGuinnes.

    Manchester United wamemsaini Kinda wa Holland MANCHESTER UNITED WAPYA
    Memphis Depay (PSV Eindhoven) Ada Haikutajwa
    Matteo Darmian (Torino) Ada Haikutajwa
    Bastian Schweinsteiger (Bayern Munich) Ada Haikutajwa
    Morgan Schneiderlin (Southampton) Ada Haikutajwa
    Sergio Romero (Sampdoria) Ada Haikutajwa

    0 maoni:

    Chapisha Maoni