.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatano, 19 Agosti 2015

Tagged Under:

Akaunti ya Fid Q imerudishwa? Mo Music na biashara za dagaa, Nay wa Mitego na video za damu

By: Unknown On: Jumatano, Agosti 19, 2015
  • Share The Gag

  • Leo kwenye zile Stori za 255 amesikika Fid Q kuhusu akaunti yake iliyotekwa,,anasema anashukuru akaunti yake kurudishwa, aliyehusika amesikitishwa na alichokifanya, anasema baada ya kugundua amemkosea alisikitika na kuomba msamaha kwa kile kilichotokea..tayari alianza mikakati ya kumfungulia kesi lakini kabla ya kufanya hivyo alipata ujumbe kutoka kwa msichana huyo akiomba samahani kwa kilichotokea.
    fii
    Fid Q
    Zaidi ya miei mitatu iliyopita Mo music alizungumzia biashara yake ya kuuza dagaa na Senene lakini imeonekana kuyumba kidogo, mwenyewe amezungumza na kusema ameegemea zaidi kwenye biashara ya kuuza unga wa sembe akishirikiana na baba yake.
    mooo
    Mo music
    Nay wa Mitego amesema kitendo chake ya kutumia damu na masamu ya kishetani katika video zake amesema hata yeye hajui ni kwanini anatumia lakini amekua anapenda, anajikuta ana idea ya kutumia vitu hivyo..pia ni kama utambulisho wake..anapenda vitu vya kitofauti ambavyo wengi hawatarajii kama anaweza kufanya.
    NY
    Nay wa Mitego

    0 maoni:

    Chapisha Maoni