Messi, mwenye Miaka 28, ametwaa Tuzo hii kwa kuwabwaga mwenzake wa Barcelona Luis Suarez na Mchezaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ambae ndie Mchezaji Bora Duniani.
Hii
ni mara ya pili kwa Messi kutwaa Tuzo hii na mara ya kwanza ni Mwaka
2011 na safari hii ameibeba baada ya kuisaidia Klabu yake Barca kutwaa
Trebo yaani Ubingwa wa La Liga, Copa del Rey na UEFA CHAMPIONS LIGI.
Washindi waliopita wa Tuzo hii ni Lionel Messi (2011), Andrés Iniesta (2012), Franck Ribéry (2013) na Ronaldo (2014).
Taswira leo hii huko Monaco
Suarez
0 maoni:
Chapisha Maoni