.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatatu, 3 Agosti 2015

Tagged Under:

AZAM FC MABINGWA WA KOMBE LA KAGAME 2015

By: Unknown On: Jumatatu, Agosti 03, 2015
  • Share The Gag


  • Viongozi wa Azam pamoja na wachezaji wakiwa katika picha ya pamoja.

    Wachezaji wa Azam FC wakishangilia wakiwa na Kombe lao baada ya kukabidhiwa katika mchezo wa fainali baada ya kuifunga Gor Mahia ya Kenya 2-0. (Picha zote na Francis Dande)

    Kocha Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall akiwa amebebwa na wachezaji wa timu hiyo baada ya kumalizika kwa mchezo wa fainali ya Kombe la Kagame dhidi ya For Mahia ya Kenya uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Azam ilishinda 2-0.

    Kocha Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall akiwa amebebwa na wachezaji wa timu hiyo baada ya kumalizika kwa mchezo wa fainali ya Kombe la Kagame dhidi ya For Mahia ya Kenya uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Azam imeshinda 2-0.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni