Eugénie
Le Sommer akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Timu yake bao
katika dakika ya 29 kipindi cha kwanza kwenye Mchezo wa mpira wa
Wanawake.
Pongezi kwa Eugenie Le Sommer
Kipindi
cha kwanza dakika ya 29 Eugénie Le Sommer aliwafungia bao la pekee la
Ushindi France kwa kuibuka kidedea dhidi ya Timu ya Taifa ya England kwa
bao 1-0. Kipindi cha pili Timu hizo zilitoka bila kufungana.
Mtanange ukiendelea..

Eugenie akiendesha mpira

Elodie Thomis akichuana na Fara Williams

Kocha wa Timu hiyo ya Taifa ya France Philippe
0 maoni:
Chapisha Maoni