.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatatu, 29 Juni 2015

Tagged Under:

ajali ya gari waliyoipata Nizar Khalfan na Shaban Kado

By: Unknown On: Jumatatu, Juni 29, 2015
  • Share The Gag


  • Shaban Kado 1 



    Ajali imetokea Bahi Dodoma na kwenye gari miongoni mwa waliokuwemo ni pamoja na golikipa Shaban Kado na mchezaji Nizar Khalfan wa Mwadui FC na chanzo ni airi la nyuma kuchomoka.
    Kwenye interview na millardayo.com Kado amesema hakuna yeyote aliyepoteza maisha kaisipokuwa majeraha waliyoyapata akiwemo Shaban Kado ambaye ameumia pia mkono wake wa kulia ambapo walikua watu wanne ndani ya gari.



    0 maoni:

    Chapisha Maoni