UONGOZI wa Coastal Union,Wagosi wa Kaya
umeingia mkataba wa miaka miwili na aliyekuwa Kocha Mkuu wa Kagera
Sugar, Jackson Mayanja kuifundisha timu ya Coastal Union katika msimu
ujao wa Ligi kuu soka Tanzania Bara itakayoanza Mwezi Agosti mwaka huu .
Mayanja aliwahi kuzifundis
Pia alisema mipango yake ni kuhakikisha timu inang’ara katika michuano ya ligi kuu msimu ujao ikiwa ni pamoja na kubadili aina ya mchezo wa timu hiyo ili iweze kupata mafanikio kwa kuhirikiana na wachezaji, mashabiki na uongozi kwenye medani za kitaifa na kimataifa.
0 maoni:
Chapisha Maoni