.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumanne, 16 Juni 2015

Tagged Under:

RATIBA MSIMU MPYA 2015/2016 LIGI KUU ENGLAND KUWEKWA WAZI LEOJ

By: Unknown On: Jumanne, Juni 16, 2015
  • Share The Gag

  • Ratiba ya Msimu mpya wa 2015/2016 wa Ligi Kuu England itatolewa Kesho Jumatano Saa 5 Asubuhi.
    Pamoja na Ratiba hiyo ya Ligi ya juu England pia zitatolewa Ratiba za Ligi za chini yake kwa Msimu huo mpya ambao unahusisha jumla ya Timu 92 kwa Madaraja yake yote.
    Chelsea ndio Mabingwa wa Ligi Kuu England walipotwaa Ubingwa wakiwa Pointi 8 mbele ya Timu ya Pili Manchester City waliofuatiwa na Arsenal na Manchester United na Timu zote hizi 4 zitacheza UEFA CHAMPIONS LIGI Msimu ujao.

    Timu zilizoshika Nafasi ya 5 na 6 ni LIverpool na Tottenham ambazo zitacheza UEFA EUROPA LIGI pamoja na West Ham walioingizwa kwa Tiketi ya Mchezo wa Haki.
    Timu mpya kwenye Ligi Kuu England, ambazo zimepanda Daraja kutoka Daraja la Championship, ni Bournemouth, inayoshiriki kwa mara ya kwanza, na Watford na Norwich ambazo zishawahi kucheza Ligi hii ya juu.

    Timu hizo 3 zitabadiliwa huko Championship na Hull, QPR na Burnley baada ya kuporomoka Daraja kutoka Ligi Kuu England.
    LIgi Kuu England itaanza Agosti 8 na kumalizika Mei 7, 2016 lakini Mechi ya kufungua pazia Msimu, ya kugombea Ngao ya Jamii, kati ya Mabingwa Chelsea na waliobeba FA CUP, ARsenal, itachezwa Uwanjani Wembley JIjini London hapo Agosti 2.


    Premier League Fixtures 2015-16 – Important Dates
     DETAILS  DATES
    Premier League Fixtures Release Date 17th June 2015 @ 09:00 UK Time
    EPL Season Start Date (confirmed) 08 August 2015
    EPL Season End Date (not confirmed yet) 07 May 2016
    First Set of Changes in EPL Fixtures  Within two weeks of fixtures announcement
    Second set of changes After champions league fixtures announced
    Community Shield Match 01 August 2015
    Capital One Cup Final  28 February 2016
    FA Cup Final  15 May 2016
    table seperater

    0 maoni:

    Chapisha Maoni