.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumapili, 14 Juni 2015

Tagged Under:

EGYPT 3 vs 0 TANZANIA,

By: Unknown On: Jumapili, Juni 14, 2015
  • Share The Gag

  • Bao za Egypt zilifungwa kipindi cha pili baada ya kwenda 0-0 kipindi cha kwanza kwenye mchezo wa Group G. Bao za Egypt zilifungwa na Rami Rabia dakika ya 60, Bassem Morsi 64, Mohamed Salah 69.
    Taifa Stars ilionekana kuzidiwa hasa kipindi cha pili ambapo muda mwingi ilikuwa ikishambuliwa na Wamisri walioonekana kuwa na njaa ya ushindi kwa muda wote wa mchezo kutokana na kutopata goli kwenye kipindi cha kwanza.Stars itakuwa na kibarua kigumu kwenye kundi lake kutokana na kupoteza mchezo wake wa kwanza na hali inaonekana kuwa mbaya zaidi kutokana na aina ya timu ambazo imepangwa nazo kwenye kundi moja.
    Mbali na Misri, Stars ipo kundi moja na Nigeria pamoja Chad.
    VIKOSI:
    Kikosi cha Egypt:
    Ahmed El-Shennawi, Mohamed Abdel-Shafi, Ahmed Hegazi, Rami Rabia, Hazem Emam, Ibrahim Salah, Mohamed Elneny, Mahmoud 'Kahraba', Mohamed Salah, Mohamed El-Gabbas, Ahmed Hassan Mekki 


    RATIBA/MATOKEO
    Sunday 14 June
    Mozambique 0-1 Rwanda (Group H)
    Scorers: Ernest Sugira 3
    Ethiopia 2-1 Lesotho (Group J)
    Scorers: Gatoch Panom 68, Saladin Saed 78 /
    Cameroon 1-0 Mauritania
    Scorers: Vincent Aboubakar 90
    DR Congo 2-1 Madagascar (Group B)
    Scorers: Mubele Ndombe 57, Kimuaki Mpela 78
    Congo 1-1 Kenya (Group E)
    Scorers: Prince Oniangue (pen.) 31 / Paul Were
    Niger 1-0 Namibia (Group K)
    Scorers: Soulemane Sacko (pen.) 39
    Equatorial Guinea 1-1 Benin (Group C)
    Scorers: Emilio Nsue 48 / Stephane Sessegnon 45
    Togo 2-1 Liberia (Group A)
    Scorers: Emmanuel Adebayor 89 / William Jebor 43
    Ghana 7-1 Mauritius (Group H)

    0 maoni:

    Chapisha Maoni