.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumapili, 28 Juni 2015

Tagged Under:

MANCHESTER UNITED YAMNUNUA TAYARI MORGAN SCHNEIDERLIN KUTOKA SOUTHAMPTON KWA KITITA CHA £25M.

By: Unknown On: Jumapili, Juni 28, 2015
  • Share The Gag

  • Morgan Schneiderlin atakuwa ni wa pili kusajiliwa na klabu ya Manchester United Msimu 2015/2016 na atajiunga na Mashetani wekundu wiki ijayo Jumatano Dirsha la Usajili litakapofunguliwa rasmi.  Manchester United wamekamilisha usajili huo kwa kutoa kitita cha £25million kwa Morgan Schneiderlin – na taarifa zaidi kutoka Klabuni humo zinadai kuwa usajili unaendelea na ambao wamewaweka kwenye anga zao ni Kipa Jasper Cillsessen pamoja mchezaji wa Bayern Munich Bastian Schweinsteiger.
    Kipa Jasper Cillsessen

    0 maoni:

    Chapisha Maoni