.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Alhamisi, 11 Juni 2015

Tagged Under:

UHAMISHO 2015: SWANSEA CITY YAMSAJILI AYEW ANDRE, KUVAA JEZI NO. 10 MGONGONI!

By: Unknown On: Alhamisi, Juni 11, 2015
  • Share The Gag

  • www.bukobasports.comKlabu ya Swansea City inayokipiga Ligi Kuu England imethibitisha kumsaini Mchezaji mpya @AyewAndre na atavaa jezi namba 10 kwa ukamilisho huo wa ujio huo Ligi Kuu katika Klabu hiyo yenye Uwanja unaojulikana Liberty Stadium.
    Andre Ayew amesajiliwa kutoka kwenye Klabu ya Marseille.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni