.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Ijumaa, 26 Juni 2015

Tagged Under:

UHAMISHO 2015: MORGAN SCHNEIDERLIN NJIANI KUTUA MANCHESTER UNITED WIKI IJAYO!

By: Unknown On: Ijumaa, Juni 26, 2015
  • Share The Gag

  • Morgan Schneiderlin
    Manchester United wanajiandaa kutoa kitita cha £24million kumnasa Mchezaji wa Southampton Morgan Schneiderlin.
    Mchezaji huyo alikuwa akiwaniwa na Arsenal na Tottenham lakini vyanzo vinaonesha Man United Pekee ndio yenye nafasi nzuri kumnunua mchezaji huyo na taratibu zitakamilia wiki ijayo.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni