.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumanne, 16 Juni 2015

Tagged Under:

Wayne Rooney aongoza mastaa wa soka kuhudhuria ndoa ya Tom Cleverle

By: Unknown On: Jumanne, Juni 16, 2015
  • Share The Gag

  •     Kiungo wa zamani wa klabu ya Manchester United, Cleverley mchana wa leo alifunga pingu za maisha na mchumba wake wa muda mrefu Georgina Dorsett katika shughuli ya kifahari iliyofanyika huko Claridge.
      Ndoa hiyo ilihudhuriwa na mastaa wengi wa soka akiwemo nahodha wa klabu ya Manchester United na England Wayne Rooney ambaye pia aliongozana na mkewe Coleen, Chris Smalling wa Man United, Danny Welbeck na wachezaji wengine, pia alikuwepo muimbaji wa band ya The Saturdays, Rochelle Humes.
    Cleverley na Mkewe wakiwa wanatoka kanisani

       
    Mchezaji wa Arsenal – Danny Welbeck
    Wayne na Coleen Rooney Harusini

    0 maoni:

    Chapisha Maoni