.
England,
wakicheza Mechi yao ya pili ya Fainali za Mashindano ya Mataifa ya
Ulaya kwa Vijana chini ya Miaka 21, EURO U-21, Leo wameifunga Sweden 1-0
huko Ander Stadium, Olomouc Nchini Czech Republic. 
England watamaliza Mechi yao ya mwisho ya Kundi C kwa kucheza na Italy hapo
Kikosi cha Timu ya England U21
Kikosi kikiomba kabla ya Mtanange
Harry Kane akiachia shuti kali
Jesse Lingard kwenye mbio kuukimbiza mpira
Jesse Lingard akifunga bao
Kwenye raha za kupata bao
Wakimpongeza mwenzao
Kikosi cha Timu ya England U21
Kikosi kikiomba kabla ya Mtanange
Harry Kane akiachia shuti kali
Jesse Lingard kwenye mbio kuukimbiza mpira
Jesse Lingard akifunga bao
Kwenye raha za kupata bao
Wakimpongeza mwenzao
0 maoni:
Chapisha Maoni