.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumapili, 28 Juni 2015

Tagged Under:

COPA AMERICA: BRAZIL 1 vs 1 PARAGUAY

By: Unknown On: Jumapili, Juni 28, 2015
  • Share The Gag

  • Paraguay wameifunga Brazil usiku huu kwa Mikwaju ya Penati (3-4) kwenye Michezo ya Copa America na Sasa kukutana uso kwa Uso na Argentina Nusu Fainali.Robinho akishangilia bao lake la dakika ya 15 kipindi cha kwanza kwa kuipatia bao 1-0 dhidi ya Paraguay baada ya kupata pasi safi kama kona kutoka kwa Dani Alves. 
    Mpaka mapumziko Brazil ilikuwa ikiongoza kwa bao 1-0 dhidi ya Paraguay. Derlis González dakika ya 72 kipindi cha pili aliisawazishia bao kwa mkwaju wa penati na mtanange kumalizika dakika 90 kwa 1-1 na Mikwaju kupigwa.Shabiki wa Brazil wakiwa tayari kuangalia kipute!Brazil v Paraguay

    0 maoni:

    Chapisha Maoni