.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Alhamisi, 11 Juni 2015

Tagged Under:

FIFA: SEPP BLATTER KUACHIA NGAZI DESEMBA 16, KAMATI KUU KUKUTANA MWEZI UJAO!

By: Unknown On: Alhamisi, Juni 11, 2015
  • Share The Gag

  • Rais wa shirikisho la kandanda duniani Sepp Blatter ataachia ngazi ifikapo Desemba 16 ambapo mrithi wa kiti hicho atajulikana.
    Blatter aliyetangaza kujiuzulu wadhifa wake ikiwa ni siku nne tangu kuchaguliwa tena kuliongoza shirikisho hilo kwa muhula watano.
    Wanachama wote 209 wa Fifa wataalikwa Uswisi kwa ajili ya uchaguzi wa Rais mpya wa shirikisho hilo la soka.
    Maamuzi ya mwisho ya tarehe ipi utafanyika uchaguzi itajulikana mwezi Julai ambapo kamati kuu ya Fifa itakapokutana.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni