.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatatu, 22 Juni 2015

Tagged Under:

Kala Jeremiah kayasema haya kuhusu viongozi wanaotangaza nia 2015.

By: Unknown On: Jumatatu, Juni 22, 2015
  • Share The Gag


  • .
     Baada ya makada mbalimbali  kutangaza nia na hatimaye kuchukua fomu za kugombea urais, Rapper Kala Jeremiah amefunguka na kuwataka wananchi wote kuchagua kiongozi sahihi mwenye sifa za kuingoza nchi.
    Akizungumza na millardayo.com amesema ‘Tumchague mtu na tusishawishike na vyama, tumchague mtu ambaye tuna mwamini, Tanzania imefika sehemu ambayo sio sehemu nzuri sana kwa maana ya kwamba tumekuwa tunaahidiwa vitu vingi sana mwisho wa siku bado wananchi wanalalamika lakini pia kumekuwa na mikataba mingi ambayo hata wananchi hawaijui kwa hiyo mtu anaposaini mkataba tulikuwa tunaomba wananchi waipitie kwanza tuangalie faida za kiongozi
    Kwa hiyo naomba vijana wenzangu tusishawishe kisiasa tuangalie mtu ambaye ana uwezo wa kuamua jambo sio tu kwasababu tumesikia ameongea vizuri hapana tuangalie pia nyuma alishawahi kufanya kazi ipi ambayo alitekeleza kwenye jamii, naamini safari hii wananchi wamtachagua kiongozi atakayekuwa na misimamo sahihi ya kuwajibisha watu moja kwa moja bila kuangalia usoni.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni