.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumapili, 28 Juni 2015

Tagged Under:

SAMUEL ETO’O KWENDA UTURUKI, TAYARI KUICHEZEA KLABU YA ANTALYASPOR!

By: Unknown On: Jumapili, Juni 28, 2015
  • Share The Gag


  • Mshambuliaji Samuel Eto’o amejiunga na klabu ndogo ya Antalyaspor iliyopanda kucheza Ligi Kuu ya Uturuki msimu huu.
    Makao makuu ya klabu hiyo ni mji wa Antalya ambao Yanga iliwahi kuweka kambi miaka miwili iliyopita. Kabla ya kutua hapo, Eto’o amewahi kuichezea klabu ya FC Barcelona ya Hispania, kabla ya Inter Milan ya Italia, Chelsea ya England na Everton ya England.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni