.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatatu, 22 Juni 2015

Tagged Under:

KIPA DAVID DE GEA MGUU NJE NDANI!! AANZA KUWAAGA WENZAKE OLD TRAFFORD, KUJIUNGA NA KLABU YA REAL MADRID HIVI KARIBUNI.

By: Unknown On: Jumatatu, Juni 22, 2015
  • Share The Gag


  • Kipa wa Manchester United David de Gea amewaambia wachezaji wenzake katika kilabu hiyo ya Old Trafford kwamba anataka kuihama kilabu hiyo na kujiunga na Real Madrid.
    Kulingana na gazeti la mail online,hatma ya kipa huyo katika klabu ya Manchester United haijulikani huku Madrid ikiwa na hamu ya kumsajili kipa huyo aliyeisaidia manchester United kupanda hadi nafasi ya nne.

    Raia huyo wa Uhispania amewaambia wenzake kwamba anataka kurudi katika klabu ya Madrid kabla ya kuanza kwa msimu ujao.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni