.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatano, 17 Juni 2015

Tagged Under:

WOMEN'S WORLD CUP: ENGLAND 2 vs 1 COLOMBIA, KAREN CARNEY NA FARA WILLIAMS WAIPA USHIND ENGLAND

By: Unknown On: Jumatano, Juni 17, 2015
  • Share The Gag

  • BAO za England zimefungwa na Karen Carney kipindi cha kwanza dakika ya 15 na lile la mkwaju wa penati dakika ya 38 la Fara Williams na kwenda mapumziko England wkiwa mbele ya bao 2-0 dhidi ya Wakolombia. 
    Bao la Colombia lilifungwa na Lady Andrade (Colombia) dakika majeruhi dakika ya 90 na mtanange kumalizika kwa 2-1 England wakiibuka kidedea.Karen Carney akipongezwa baada ya kuifungia England bao la kwanza

    0 maoni:

    Chapisha Maoni