Tagged Under:
MECKY MEXIME AITWA TAIFA STARS KUMSAIDIA MART NOOIJ
By:
Unknown
On: Jumatatu, Juni 01, 2015
Tanzania
imepata mwaliko wa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Taifa ya
Rwanda kati ya Juni 6, 7 mwaka huu jijini Kigali, kwenye kumbukumbu ya
mauaji ya kimbali, Tanzania itapeleka kikosi cha vijana U23 katika
mchezo huo utakaochezwa mwishoni mwa wiki.
Kufuatia kupata mwaliko
huo kikosi cha U23 kitaondoka nchini ijumaa tarehe 5, Juni 2015 kuelekea
nchini Rwanda kikiwa na wachezaji 18 chini ya kocha Salum Mayanga.
Kocha
wa Mtibwa Sugar Mecky Maxime ameongezwa kwenye benchi la ufundi
litakalokwenda Ethiopia kisha nchini Misri kufuatia kocha Salum Mayanga
kuwa na timu ya U23 nchini Rwanda.
0 maoni:
Chapisha Maoni