 Real
 Madrid wameweka dau nzito na kutaka ndani ya wiki mbili Raheem Sterling
 asaini mkataba na timu hiyo ya Spain. Kutokana na Raheem kukataa 
kusaini mkataba mpya na Liverpool, club nyingi zimeonyesha nia ya 
kumsaini.

Real inategemea kufungua mazungumzo na Liverpool na kuwalipa €60 million (£45m) ili Raheem Sterling ahamie Real ndani ya wiki mbili zijazo.
 
0 maoni:
Chapisha Maoni