Sevilla FC waliofnga bao ni Michael Krohn-Dehli dakika ya 52 na lile la Vicente Iborra dakika ya 58 na kufanya bao kuwa 2-0.
Sevilla wakishangilia bao mbele ya Mashabiki wao
Iborra alipotupia bao
Neymar
Suarez akishangaa shangaa baada ya kukosa bao la wazi
Chupuchupu! Suarez afunge bao!
0 maoni:
Chapisha Maoni