.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumapili, 18 Oktoba 2015

Tagged Under:

VINARA YANGA SC WASHINDWA KUTAMBA MBELE YA AZAM FC, WATOKA SARE YA 1-1 LEO TAIFA.

By: Unknown On: Jumapili, Oktoba 18, 2015
  • Share The Gag


  • Pascal wawa akichuana na mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1. (Picha na Francis Dande).

    Kocha wa Yanga, Hans Pruijm akitoa maelekezo kwa Salum Telela.

    Mshambuliaji wa Yanga, malimi Busungu akiwatoka wachezaji wa Azam FC.

    Beki wa Azan FC, Pascal Wawa akimiliki mpira huku akizongwa na Salum Telela.

    Beki wa Azam FC, Agrey Morris akipiga tiktak kuokoa moja ya hatari langoni mwake wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Sioka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1.

    Mshambuliaji wa Azam FC, Himid Mao (kushoto) akichuana na kiungo wa Yanga, Mbuyu Twite wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

    Mashabiki wa Azam FC.

    Mashabiki wa Yanga.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni