.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Alhamisi, 22 Oktoba 2015

Tagged Under:

Baada ya mashabiki wa Man City kuzomea wimbo wa UEFA, klabu yao kukumbana na adhabu hii…

By: Unknown On: Alhamisi, Oktoba 22, 2015
  • Share The Gag

  • Klabu ya Manchester City ya Uingereza ambayo usiku wa October 21 ilicheza mechi dhidi ya klabu ya Sevilla katika uwanja wake wa nyumbani wa Etihad. Kabla ya kuanza kwa mchezo huo ambao klabu ya Manchester City iliibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Sevilla kuna tukio lilijitokeza ambalo huenda litaigharimu Man City.
    Usiku wa mechi hiyo kabla ya kuanza kwa mchezo wakati wimbo wa UEFA unaimbwa mashabiki wa klabu ya Man City walizomea wimbo huo, hivyo  tukio hilo lazima Man City watapigwa faini kutoka kwa shirikisho la soka barani Ulaya. Man City inatajwa kupigwa faini ila bado haijajulikana kama itatozwa kiwango cha kawaida au zaidi.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni