Tagged Under:
Ukali wa Jose Mourinho haukusaidia Chelsea kupata ushindi, haya ni matokeo ya mechi yao dhidi ya Southampton
By:
Unknown
On: Jumapili, Oktoba 04, 2015
Jose Mourinho akichachamaa!!
3-1
Mabingwa
CHELSEA wakicheza kwao Darajani mbele ya mashabiki 41642, wamefungwa na
Southampton bao 3-1. Kipindi cha kwanza kilimalizika 1-1 na kipindi cha
pili Sputhampton walifunga bao mbili dakika ya 60 na dakika ya 72.
Chelsea bao lao lilifungwa na Willian dakika ya 10 na dakika ya 43
Steven Davi aliisawazishia bao Southampton kwa kufanya 1-1. Sadio Mane
dakika ya 60 na lile la Graziano Pellé dakika ya 72 na mtanange
kumalizika dakika 90 Southampton wakiibuka kidedea kwa bao 3-1 dhidi ya
Mabingwa hao.
Pelle akifanya mavitu
3-1
Shangwe!
Jose akishangaa shangaa leo Darajani
Bao!
Mane akishangilia bao lake
Mane akitupia..
1-1
Asante Willian!! Akipongezwa na wenzake!
1-0
Willian akishangilia kwa kupeta
Mbele ya Mashabiki
Falcao alipojitupa chini kwenye 18 na kupewa kadi ya njano!
Aaaah!
VIKOSI:
Chelsea starting XI: Begovic, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Ramires, Fabregas, Willian, Oscar, Hazard, Falcao
Chelsea subs: Zouma, Baba, Pedro, Remy, Matic, Blackman, Loftus-Cheek
Southampton starting XI: Stekelenburg, Cedric Soares, Fonte, van Dijk, Bertrand, Romeu, Wanyama, Mane, Steven Davis, Tadic, Pelle
Saints subs: Kelvin Davis, Yoshida, Long, Rodriguez, Martina, Ward-Prowse, Juanmi
0 maoni:
Chapisha Maoni