.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Ijumaa, 30 Oktoba 2015

Tagged Under:

PAMBANO LA AZAM FC NA JKT RUVU KATIKA PICHA

By: Unknown On: Ijumaa, Oktoba 30, 2015
  • Share The Gag

  • Kikosi cha JKT Ruvu kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika katika uwanja wa Karume Dar es Salaa dhidi ya Azam FC. Katika mchezo huo Azam iliibuka na ushindi wa bao 4-2.

    Kikosi cha Azam FC.

    Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco akiwania mpira na mchezaji wa JKT Ruvu, Michael Aidan.

    Bocco akimtoka Michael Aidan.

    Wacheza wa Azam wakishangilia baada ya kufunga.

    Hekaheka katika lango la JKT Ruvu.

    Erasto Nyoni (kushoto) akiwania mpira na Mussa Juma.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni