Baooo!
2-0
Ozil akishangilia bao lake la dakika za majeruhi!
Balaa!
Olivier
Giroud dakika ya 77 aliipatia Arsenal bao na kufanya 1-0 dhidi ya
Bayern Munich. Dakika ya 90 kwenye muda wa lala salama Arsenal
waliongeza kasi na kuweza kupata bao na mtanange kumalizika 2-0, Bao
likifungwa na Mesut Ozil.
Alama tatu muhimu!
Petr Cech akiokoa langoni mwake
Theo Walcott akijishangaa
Kipa wa Bayern Munich Neuer akiokoa shuti langoni mwake katika kipindi cha kwanza kilichomalizika 0-0 dhidi ya Arsenal. Kipindi cha pili dakika ya 55 Ramsey aliumia na nafasi yake imechukuliwa na Alex Oxlade-Chamberlain

0 maoni:
Chapisha Maoni