Joao alipofanya 2-0
3-0
Ushindi!!
3-0!!!
Raha tupu kwa Meneja wa Sheffied
Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger akichanganyikiwa kwa kichapo
Shangwe kwa Mashabiki
Ross
Wallace wa (Sheffield Wednesday) anaipatia bao la kuongoza katika
dakika ya 27, Dakika ya 40 Lucas João alipachika bao la pili kwa kichwa
mpira ukipigwa kwa kona na kupeana pasi kisha na kupiga kwa juu na Joao
kufunga bao na kufanya 2-0 dhidi ya Arsenal. 
Nyumba imeungua!!
Raha ya bao!!
Kipa wa Arsenal Petr Cech
Ni shida!
Wachezaji
wawili wa Arsenal Alex Oxlade-Chamberlain na Theo Walcott wameumia na
kulazimika kutolewa nje mapema kipindi cha kwanza na timu ya Sheffied
kupata mwanya wa kupata bao.
Theo nae yale yale!!
VIKOSI:Arsenal starting XI
Cech, Debuchy, Chambers, Mertesacker, Gibbs, Flamini, Kamara, Oxlade-Chamberlain, Campbell, Iwobi, Giroud.

0 maoni:
Chapisha Maoni