.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Ijumaa, 23 Oktoba 2015

Tagged Under:

FULL TIME: EUROPA LEAGUE: LIVERPOOL 1 v 1 RUBIN KAZAN, EMRE CAN AIOKOA LIVERPOOL KUUMALIZA KWA SARE!

By: Unknown On: Ijumaa, Oktoba 23, 2015
  • Share The Gag

  • Dakika ya 37 Emre Can aliwasawazishia bao Liverpool kwa kufanya 1-1 na mtanange kwenda mapumziko wakiwa sare, Kipindi cha pili pamoja na Timu ya Rubin Kazin kucheza kwa pengo la mchezaji mmoja aliyetolewa  kwa kadi nyekundu, Liverpool hawakuweza kuifunga timu hiyo na hatimaye waliweza kusawazisha tu na mtanange kumalizika kwa dakika 90 kwa nguvu sawa ya bao 1-1.Marko Devic akipongezwa na wenzie baada ya kuwafungulia bao kwa kufanya 1-0 dhidi ya Liverpool.Marko Devic akimnyamazisha Kocha wa Liverpool Klopp
    VIKOSI:
    Liverpool XI:
    Mignolet, Clyne, Skrtel, Sakho, Moreno, Can, Allen, Milner, Lallana, Coutinho, Origi
    Akiba: Bogdan, Toure, Benteke, Firmino, Lucas, Ibe, Randall
    Rubin Kazan XI: Ryzhikov; Kuzmin, Nabiullin, Kverkvelia, Kambolov, Carlos Eduardo, Ozdoev, Karadeniz, Georgiev, Devic, Kanunnikov
    Akiba: Lemos, Portnyagin, Haghighi, Bilyaletdinov, Cotugno, Dyadyun, Akhmetov

    0 maoni:

    Chapisha Maoni