.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumamosi, 24 Oktoba 2015

Tagged Under:

DKT JAKAYA KIKWETE NA DKT JOHN POMBE MAGUFULI WAWASILI JIJINI MWANZA MCHANA HUU KUHITIMISHA SHUGHULI ZA KAMPENI

By: Unknown On: Jumamosi, Oktoba 24, 2015
  • Share The Gag
  •  Mwenyekiti wa CCM,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Mgombea Urais wa chama hicho Dkt John Pombe Magufuli,mara baada ya kuwasili katika uwanja wa CCM Kirumba kuhitimisha shughuli za kampeni nchini kote,ambapo hapo kesho wananchi wanatarajia kupiga kura ya kuwachagua viongozi wawatakao.
     Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Kikwete na Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli wakielekea jukwaani kwa pamoja mara baada ya kupokelewa katika uwanja wa CCM Kirumba ambapo umati mkubwa watu umejitokeza kushuhudia tukio hilo adhimu.
     Mara baada ya kuwasalimia Wananchi kwa pamoja wakirejea meza kuu.

     Mgombea Urais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania kupitoa chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwasili ndani ya uwanja wa CCM Kirumba huku akilakiwa na melfu ya wakazi wa jiji la Mwanza waliofurika hivi sasa kwenye hitimisho la mikutano ya kampeni.
     Wakazi wa jiji la Mwanza wakishangilia wakati Mgombea Urais wa CCM alipokuwa akiwasili ndani ya uwanja wa CCM Kirumba hivi punde kuhitimisha mikutano ya kampeni,ambapo kesho Wananchi nchini watapiga kura kuwachagua viongozi wawatako kuwatumikia katika awamu ya tano.
     Mgombea Urais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwasili ndani ya uwanja wa CCM Kirumba huku akilakiwa na melfu ya wakazi wa jiji la Mwanza waliofurika hivi sasa kwenye hitimisho la mikutano ya kampeni.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni