.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumanne, 27 Oktoba 2015

Tagged Under:

VPL - RATIBA, MSIMAMO NA WAFUNGAJI WANAOONGOZA MPAKA SASA! LIGI KUENDEA KESHO JUMATANO 28 NA 29.

By: Unknown On: Jumanne, Oktoba 27, 2015
  • Share The Gag

  • Ligi Kuu soka Tanzania bara inaendelea tena kwa michezo kadhaa kupigwa siku ya Jumatano ya October 28 na Alhamisi ya October 29. Ligi hiyo inaendelea kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali ambapo uwanja wa Taifa Dar Es Salaam utapigwa mchezo ambao unatajwa kuwa na presha kwa kocha wa Simba Dylan Kerr ambaye kuna tetesi kuwa uongozi wa Simba umempa mechi mbili afanye vizuri ili kunusuru kibarua chake.

    Hii ni ratiba ya mechi za October 28 na 29.


    Ratiba za mechi za Ligi Kuu Tanzania bara October 28 na 29
    Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania bara October 27

    0 maoni:

    Chapisha Maoni