.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumanne, 20 Oktoba 2015

Tagged Under:

MICHEL PLATINI ASEMA BADO ANATAKA UONGOZI KUMRITHI BLATTER!

By: Unknown On: Jumanne, Oktoba 20, 2015
  • Share The Gag

  • Rais wa shirikisho la soka barani Ulaya UEFA Michel Platini amesema bado ana moyo wa kutaka kumrithi Sepp Blatter kama Rais wa shirikisho la Kandanda duniani FIFA, licha ya kupigwa marufuku ya siku 90 ili kupisha uchunguzi wa madai ya ufisadi dhidi unaoendelea dhidi yake. Platini, mpaka sasa anatumikia adhabu baada ya kupokea Pauni za Uingereza milioni 1.35 kutoka kwa Blatter mwaka 2011. 

    0 maoni:

    Chapisha Maoni